Who pays for wildlife and who benefits?

the survival of wildlife for the future generation depend on you. in one way or another you are the conservationist. lets move together

Advertisements

Tanzania my Country

Here is your country. Cherish these natural wonders, cherish the natural resources, cherish the history and romance as a sacred heritage, for your children and your children's children. Do not let selfish men or greedy interests skin your country of its beauty, its riches or its romance.” ― Theodore Roosevelt

​UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 – DK. KIGWANGALLA

Serikali imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ujangili hapa nchini kwa zaidi ya asilimia 50. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Sarah Cooke ofisini kwake mjini Dodoma. Mazungumzo hayo yalilenga kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta … Continue reading ​UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 – DK. KIGWANGALLA

​TANZANIA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII DUNIANI KUPITIA TAMASHA LA URITHI WA UTAMADUNI WA MABARA NCHINI UFARANSA( Tumia dk 5 kusoma)

Tanzania ni miongoni mwa nchi 54 za bara la Afrika zitakazoshiriki katika tamasha la ‘Urithi wa Utamaduni wa Mabara’ linalotarajiwa kufanyika nchini Ufaransa katika mji wa ‘Cherbourg-Octeville’ mwezi Julai mwaka huu. Tanzania inashiriki tamasha hilo la kihistoria kwa mara ya kwanza ambapo itapata fursa ya kutangaza utamaduni wake na vivutio vya utalii vya mambo ya … Continue reading ​TANZANIA KUNADI VIVUTIO VYA UTALII DUNIANI KUPITIA TAMASHA LA URITHI WA UTAMADUNI WA MABARA NCHINI UFARANSA( Tumia dk 5 kusoma)

​NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO

Serikali imewataka Maafisa Wanyamapori nchini kujikita zaidi katika utoaji wa elimu kwa wananchi hususani wakulima na wafugaji wanaozunguka maeneo mbalimbali ya hifadhi nchini ili kuepusha migogoro kati ya wananchi na mamlaka za hifadhi zinazosimamia maeneo hayo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Japhet Hasunga alipotembelea Pori la Akiba la Mkungunero katika … Continue reading ​NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHE. JAPHET HASUNGA ATEMBELEA PORI LA AKIBA MKUNGUNERO

​DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI

Na, Twaha Twaibu (Afisa Mawasiliano-TAWA)  Dkt.James Wakibara (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhia ya Maafisa wake akiwepo Mkurugenzi wa Huduma za Utalii na Biashara Bw. Richard Nkuwi (wan ne kutoka kushoto), Meneja wa Pori hilo Bi: Diana Chambi (wa sita kutoka kushoto)wamekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Pori la Akiba la Kijereshi, wakiongozwa … Continue reading ​DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI