​DKT.JAMES WAKIBARA (MKURUGENZI MKUU TAWA) AKUTANA NA WAWEKEZAJI WA PORI LA AKIBA KIJERESHI

Na,

Twaha Twaibu (Afisa Mawasiliano-TAWA) 

Dkt.James Wakibara (wa tatu kutoka kushoto) akiwa na baadhia ya Maafisa wake akiwepo Mkurugenzi wa Huduma za Utalii na Biashara Bw. Richard Nkuwi (wan ne kutoka kushoto), Meneja wa Pori hilo Bi: Diana Chambi (wa sita kutoka kushoto)wamekutana na kufanya mazungumzo na wawekezaji wa Pori la Akiba la Kijereshi, wakiongozwa na Bw.Manjh Sandh(wa pili kutoka kushoto) aliyefuatana na Mkurugenzi wa Raslimari watu Bw.Juma Obote.(wa kwanza kutoka kushoto)

Dhumuni kubwa la kikao hicho ni kuweka mikakati ya kuboresha shughuli za utalii na kuongeza idadi ya watalii kutembelea Pori la Kijereshi

Meneja wa pori la akiba Kijereshi Bi.Diana Chambi akiwa ofisini kwake.

Leave a comment