​UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 – DK. KIGWANGALLA

Serikali imefanikiwa kudhibiti vitendo vya ujangili hapa nchini kwa zaidi ya asilimia 50. Hayo yameelezwa jana na Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla wakati akizungumza na Balozi wa Uingereza hapa nchini, Sarah Cooke ofisini kwake mjini Dodoma. Mazungumzo hayo yalilenga kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kuimarisha ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta … Continue reading ​UJANGILI NCHINI WAPUNGUA KWA ZAIDI YA ASILIMIA 50 – DK. KIGWANGALLA